『Fahamu ujumbe wa Jubilei kuu unavyojieleza katika nembo yake』のカバーアート

Fahamu ujumbe wa Jubilei kuu unavyojieleza katika nembo yake

Fahamu ujumbe wa Jubilei kuu unavyojieleza katika nembo yake

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Ni kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, tunapata mafundisho ya imani ya kanisa Katoliki kutoka kwa Baba zetu wa kiroho, hapa Pdre Leonard Maliva, Paroko wa Paroka ya Isimani na Mkurugenzi wa Utume wa Walei Jimbo Katoliki Iringa anaendelea kufundisha kuhusu ujumbe wa Jubilei Kuu 2025. Mimi ni mtangazaji wako Esther Magai Hangu

L'articolo Fahamu ujumbe wa Jubilei kuu unavyojieleza katika nembo yake proviene da Radio Maria.

Fahamu ujumbe wa Jubilei kuu unavyojieleza katika nembo yakeに寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。