『Innocent Morris - Umuhimu wa Kuanza Siku na Bwana.』のカバーアート

Innocent Morris - Umuhimu wa Kuanza Siku na Bwana.

Innocent Morris - Umuhimu wa Kuanza Siku na Bwana.

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Send us a text

Katika episode hii, Mtumishi Innocent Morris anafundisha juu ya umuhimu wa kuanza siku yako pamoja na Bwana. Ujumbe huu unaleta mwanga juu ya nafasi ya Mungu katika kila mwanzo wa siku zetu na jinsi ushirika wa kila asubuhi na Roho Mtakatifu unavyoweza kubadilisha maisha yako kabisa. Ni wakati wa kujifunza, kuhamasika, na kuchochewa kiroho ili uanze kila siku ukiwa na nguvu mpya kutoka kwa Bwana.

Ubarikiwe sana.

📞 Innocent Morris
WhatsApp: +255652796450

🔗 Mitandao ya Kijamii:
📸 Instagram: @holyspiritconnect
📘 Facebook: Holy Spirit Connect
▶️ YouTube: Holy Spirit Connect
📱 WhatsApp: +255652796450

Innocent Morris - Umuhimu wa Kuanza Siku na Bwana.に寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。