エピソード

  • Je, wafahamu namna alivyopalizwa palizwa Mbinguni Mama Bikira Maria?.
    2024/10/04

    Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani, tukiungana na Frateri Emilian Samson Mahinya kutoka Parokia ya Mtakatifu Petro Mtume Ndaga, Jimbo Kuu la Mbeya akijibu swali lina hoji Je, nawezaje kuthibitisha sifa za Mama Bikira Maria kuwa alipalizwa Mbinguni.

    L'articolo Je, wafahamu namna alivyopalizwa palizwa Mbinguni Mama Bikira Maria?. proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    25 分
  • Fahamu namna ya kuishi na mtu mwenye afya ya akili.
    2024/10/04

    Ungana nami Judith Mpalanzi katika kipindi cha Malezi na makuzi ya Vijana, Mwezeshaji ni Sister Theresia Karugaa, anayefanya utume wake katika Jimbo Katoliki Zanzibar akitufundisha juu ya Afya ya Akili kwa Watoto.

    L'articolo Fahamu namna ya kuishi na mtu mwenye afya ya akili. proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    40 分
  • Mfahamu Mama Bikira Maria katika Mazingira yetu.
    2024/10/04

    Karibu uungane nami Martin Joseph katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania, mada ni Mama Bikira Maria katika ndani ya Mazingira yetu.

    L'articolo Mfahamu Mama Bikira Maria katika Mazingira yetu. proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    55 分
  • Fahamu matumizi sahihi za kutibu shindikizo la Damu.
    2024/10/04

    Karibu uungane nami Martin Joseph katika kipindi cha Ijue Afya yako, Mwezeshaji ni Jimson Sanga Mwanateknolojia Madawa kutoka Hospital ya Rufaa ya Mtakatifu Fransisco wa Asizi Ifakara Afisa , leo anatuelimisha juu Afya ya Moyo wa Binadamu na matumizi sahihi ya Shindikizo la Damu.

    L'articolo Fahamu matumizi sahihi za kutibu shindikizo la Damu. proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    35 分
  • Je, unafahamu vivutio vilivyopo katika Hifadhi ya Milima ya Udzungwa.
    2024/10/04

    Karibu uungane nami Agness Shayo katika kipindi cha Elimu Jamii, leo tutazungumzia juu ya Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Udzungwa, Mwezeshaji ni Kamishina Msaidizi wa Hifadhi ya Taifa Mlima Udzugwa Bi. Theodora Batiho.

    L'articolo Je, unafahamu vivutio vilivyopo katika Hifadhi ya Milima ya Udzungwa. proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    51 分
  • Fahamu mafundisho ya mfalme Daudi kipindi cha Utawalawake.
    2024/10/03

    Karibu uungane na Padre Titus Amigu, Mtalaamu wa Maandiko Matakatifu kutoka Chuo kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), Jimbo Kuu la Mwanza, katika kipindi cha Ujumbe wa Bibilia, ikiwa ni muendelezo wa mada ya kukoseana na kusamehana na leo anamzungumzia mfalme Daud.

    L'articolo Fahamu mafundisho ya mfalme Daudi kipindi cha Utawalawake. proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    54 分
  • Fahamu kwa kina mafundisho ya Mama Bikira katika Maisha.
    2024/10/03

    Karibu uungane nami Esther Magai Hangu katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania, mada ni Mama Bikira Maria katika Maisha yangu.

    L'articolo Fahamu kwa kina mafundisho ya Mama Bikira katika Maisha. proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    53 分
  • Je, wafahamu umuhimu wa Ibada ya Rozari Takatifu.
    2024/10/02

    Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani, tukiungana na Frateri Emilian Samson Mahinya kutoka Parokia ya Mtakatifu Petro Mtume Ndaga, Jimbo Kuu la Mbeya akijibu swali lina hoji anaomba kufahamu nafasi ya Ibada ya Rozari Takatifu moja ya ibada katika Kanisa Katoliki.

    L'articolo Je, wafahamu umuhimu wa Ibada ya Rozari Takatifu. proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    25 分